Corner stone
Member
- Jan 3, 2020
- 32
- 41
Nunuaa tu zina GB 120katika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki mana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa 550,000TZS ila ni used from dubai, kuna mtu ana uzoefu na hizi simu used from dubai nisijeingizwa mjini
Refurb ndo mwaita mpyaUtajua hujui, nunua kitu kipya, Kuna raha yake.
siku hizi hadi infinix used from dubai wanatupiga aseeKatika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki maana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa 550,000TZS ila ni used from Dubai, kuna mtu ana uzoefu na hizi simu used from dubai nisije ingizwa mjini.
Hahah infinix used from Dubai ,[emoji16][emoji16][emoji16]siku hizi hadi infinix used from dubai wanatupiga asee
kichwa kinauma aseeeHahah infinix used from Dubai ,[emoji16][emoji16][emoji16]