C.Thady
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 589
- 155
Habari wapendw. Nipo Tanga mjini mtaa wa Kange nimeangusha simu yangu aina ya iphone 6splus ya silver ina kava la gold jana tarehe 26/01/2018 saa tano asubuh mtaa wa kange kasera. Ipo na icloud protection na tumejaribu ku track ila mpaka muda bado imezimwa hivyo Kama kuna yeyote aliyeiokota tafadhali piga namba zilizopo kwenye dispaly ya hio simu au nicheck inbox. Kitu kidogo cha shukran nitakupatia.
Asanteh.
Asanteh.