Simu tecno y3+ haidelete sms

Simu tecno y3+ haidelete sms

Mwana wa Nuru

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
590
Reaction score
415
Simu yangu haifuti sms. Kila nikidelete sms au thread yoyote haikubali, nisaidieni nifanyeje nifute zile zingine,
 
naomba kuuliza hv sms kujirudia kila uwashapo simu inaiingia sms hiyo hiyo yaan kila ukizima simu ukiiwasha sms zinajirudia zilezile.....je hapo tatzo nn?msaada plz
 
naomba kuuliza hv sms kujirudia kila uwashapo simu inaiingia sms hiyo hiyo yaan kila ukizima simu ukiiwasha sms zinajirudia zilezile.....je hapo tatzo nn?msaada plz
setting ya simu,,,

unaweza kuwa simu ina setting ya kushow unread message when you power ON
 
swala la kutofuta thread kwa app ya jamii forum au ulikuwa una shida gani?
Swali la msingi niliuliza ni vipi nitaweza kufuta sms au thread, yaani sms zote toka kwa namba moja, kwenye simu yangu aina ya Techno Y3+,ambayo kwa sasa kila nikifuta naziona tena baada ya muda mchache. Je unajua nifanyeje zisijitokeze tena kwani zinajaza simu? Asante.
 
factory reset iyo simu

  • nenda seting -back up and restore--reset phone
 
Back
Top Bottom