Lets assume simu yangu imeisha credit naomba ya kwake nitumie just to make a call lakini sasa mtu atakavyoruka mita mia hataki kutoa simu yake and to me my problem is kwanini mtu unakuwa na wasiwasi kama unajua you are doing the right thing with your phone nafikiri hata ukiombwa simu yako hautaanza kujiuliza mara mbili kuwa nimpe au lah! So it means there is a problem somewhere, Narudia tena unapoombwa simu yako kwanini ujiulize mara mbili kama unipie au lah? Kwanini uwe na wasiwasi kama hakuna tatizo?