Simu nzuri

Siku hizi unakuta unaambiwa simu unayonunua itapata upgrades 6 mbele. This means simu utayonunua leo itaendelea kua mpya mpaka updates 6 za android.

Mfano hii inatumia Android 13 na utaupdate kwenda Android 15 kisha mwisho ni hapo. Wakati sasa hivi tayari watu wapo Android 16.

Ni simu nzuri in terms of specifications za hardware ila kwenye software ipo nyuma.
 
Madhara Yake nini
 
Nyuma ya mwaka mmoja sio mbaya Ht kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…