Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4Mkuu @ chief mkwawa naomba ushauri nataka kununua simu moja wapo kati ya hizi SAMSUNG NOTE 4 ama SAMSUNG GALAXY S6 ipi nzuri katika peformance na feature??
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia
sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.
ila narecomend sana s6
s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia
sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.
ila narecomend sana s6
sina uhakika ila nahisi kwa windows 10 inaweza kuhandle vitu vingi, sijui huko baadae itakuajeChief-Mkwawa hii lumia 550, inafaa kwa matumizi ya kimwendokasi(super user)?
Zinapatikana wapi kwa dsm na price yake mkuu???hapana haina zenye projector zinakuwa hivi
INAKUWA na kama tochi kubwa kwa mbele
tafuta tafuta tu kwa madalali na madukani, hii si aina.ya simu ambayo unakwenda tu dukani na kuipata inabidi uhangaike kidogo.Zinapatikana wapi kwa dsm na price yake mkuu???
ni kifaa kinachomulika ukuta au kizuizi chengine kama kitambara kwa mwanga na kufanya kizuizi hiko kionyeshe mambo mbalimbali.Wengine hatujui hata hiyo projector ina maana gani aisee tufafanulieni
ni hizo galaxy beam, ila projector yake haina nguvu sana na usitegemee quality iwe kubwa kama projector kubwa.Ni simu gani zenye hiyo kitu aisee. Na gharama. Zake zikoje kweli dunia unajua Mimi niliamini hii kitu haiko kwa simu
Kwa hiyo kumbe ni teknolojiaa ambayo sio ngeni sana duuuh ! Kweli usilolijua haliwezi kukusumbua ' hongera chief kwa kunifumbua macho na kunitoa tongotongoni hizo galaxy beam, ila projector yake haina nguvu sana na usitegemee quality iwe kubwa kama projector kubwa.
ipo beam na beam 2, sababu ni za zamani si rahisi kuzikuta madukani
Nashukuru mkuu nimeona specifications haijakizi haja yangu ni ya kawaida bora hata Galaxy beam i8530 labda kama unanishauri nyingine.projector ya hio simu uliipenda? ipo galaxy beam 2.
hio niliokuambia ni nzuri kuliko ulioitaja na hakuna nyengine baada ya beam2 labda ununue pico projector ambazo ni ndogo kama hiviNashukuru mkuu nimeona specifications haijakizi haja yangu ni ya kawaida bora hata Galaxy beam i8530 labda kama unanishauri nyingine.
mkuu kuna nyengine nimesahau kuitaja moto z ina acessory kama cover ambayo ina projectorOK!!...mkuu nashukuru lengo nilijua takuta yenye 4G LTE FDD,RAM kuanzia 2GB
Mkuu I phone zina uwezo huo???
Mkuu Chief mkwawa vipi kuhusu huawei honor 5X ni nzuri?s6 ni habari ingine ina nguvu sana kuipita note 4
-ndio simu ya kwanza kuja na memory za ufs ambazo zina speed sana
-processor yake ina nguvu na ni 64bit compare na 32bit ya note 4
-ina touchwizz mpya ambayo ni nyepesi
-ina design ya kuvutia
sema s6 haijakaa kama samsung nyengine
-battery yake haitoki
-haiingii memory card
-imetengenezwa na glass ambazo si material mazuri.
ila narecomend sana s6
ndio ni nzuri mkuu, ila kwa bei kiasi gani?Mkuu Chief mkwawa vipi kuhusu huawei honor 5X ni nzuri?