Simu nzuri yenye projector ni ipi?

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Nimetokea kupenda sana simu zenye projector lakini nataka kujua ni SAMSUNG tu ndio wanatoa hizo simu?? kama kuna kampuni jingine naomba kujua.Nimetumia SAMSUNG galaxy beam i8530 ila sikupenda specification zake ni ndogo.Nataka simu kubwa na yenye projector msaada.
 
projector ya hio simu uliipenda? ipo galaxy beam 2.
 
625 achana nayo unless unaipata chini ya laki moja ni simu ya zamani kidogo.

simu kama 640 lte, 735, 830 naona ni best kwa sasa kutokana na bei zake.

hio 550 pia sio mbaya mkuu sababu tayari ipo optimized na windows 10.
 
625 achana nayo unless unaipata chini ya laki moja ni simu ya zamani kidogo.

simu kama 640 lte, 735, 830 naona ni best kwa sasa kutokana na bei zake.

hio 550 pia sio mbaya mkuu sababu tayari ipo optimized na windows 10.

Chief-Mkwawa hizo 640lte,735 na 830 naweza zipata chini ya laki 3 zikiwa mpya dukani? Maana sipendelei used
 
Chief-Mkwawa hizo 640lte,735 na 830 naweza zipata chini ya laki 3 zikiwa mpya dukani? Maana sipendelei used

Mimi naijua 735 haitapungua 500,000/- advantage ya hii simu ni dual sim, inasupport wireless charging, na ina camera nzuri
 
Simu za projector zinakuaje? Nina s6 edge je inauwezo uo?
 
ukipata mtu ambaye ni active yes unazipata. cheki bei zake online uone
Chief- mkwawa nna mpango wa kubadil simu bt kwa bajeti za kmagufuli mevutiwa na Huawei..Y6 Pro..vp ni kimtazamo wako..yafaa
 
Reactions: Lee
mkuu ukiongeza hela kidogo unapata galaxy j5 ambayo ni nzuri zaidi.

gpu ya y6 pro ni t720mp2 na cpu ni quad cortex a53 ambayo ni ndogo sana inafanana na huawei za chini ya laki 2.

uzuri wa hio simu ni battery, ram na internal storage.

pia ipo lg g2 kama hujali simu za zamani inapatikana kwa bei hio nyingi zinakuwa mpya ila sio boxed
 
Mmmh projector!!! Kwa mimi nipo shamba...hebu tuelimishane jamani kuhusu simu/ laptop zenye projector nazihitaji kama zipo
 
Reactions: Lee
Ni bei gan iyo J5
 
Nina simu hizi mpyaaa nauza
Samsung Galaxy J7 499,000/=
Samsung Galaxy j5 399,000/=
zote ni boxed with warranty
0714883861
 
Reactions: Lee
Mkuu CHIEF MKWAWA kuna swali nilikuuliza kuhusu headphones za in-hear zenye 3D technology! Naweza kuzipata? Wapi? Bei inaweza ku range ngapi? Asante
 
Mkuu @ chief mkwawa naomba ushauri nataka kununua simu moja wapo kati ya hizi SAMSUNG NOTE 4 ama SAMSUNG GALAXY S6 ipi nzuri katika peformance na feature??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ