Ni nokia N9 ina screen kubwa kabisa(6cmx10cm, camera safi inayotumia flashlight, picha angavu HD , internal memory 16GB, very sensitive tourch screen, ina support program zote, haijawahi kufunguliwa wala kusumbua chochote. Simu ni yangu ndo naitumia kupost hii kitu... Bei 180,000/=. nipo DAR.
KARIBU
KARIBU