Mkuu ingekuwa sawa kama angeiwasha baada ya kuingia kwenye gari ila kuanzia nje ilikua inaimba hadi aningia kwa bus
Li gogo hilo na ushamba wake tu!
Nipo kwenye daladala hapa Dodoma. Gari inapiga mziki mzuri ila kuna jamaa yupo smart katika mavazi ila cha kushangaza kafungulia mziki kwenye simu yake kwa sauti kubwa. Nini maana yake hii kitu au ni ushamba?
Mkuu ingekuwa sawa kama angeiwasha baada ya kuingia kwenye gari ila kuanzia nje ilikua inaimba hadi aningia kwa bus
Dah basi huyo mtata tu. Unaweza kuta katoka home na mahasira na wala hana safari yoyote kaingia kwenye gari kutafuta ugomvi tu apate mtu wa kummalizia hasira zake muepuke kabisa wala usimsemeshe anaweza kukuangushia mvua ya ngumi kama tyson tena kama umekaa nae karibu hama siti kabisa unaweza kukuta jamaa ni polisi wajihi wake ulivyomuelezea inaonekana ni polisi si unajuwa polisi ndio huwa smart na nguo za special za dukani sasa inawezekana yuko hapo kutekeleza kauli ya waziri mkuu Pinda ya wapigeni tu! If possible mkuu jishukie kituo kinachofuata.
Li gogo hilo na ushamba wake tu!
Mkuu amenikumbusha enzi za suruali ya mchele mchele moka nyeupe na shati la bahama alafu mkononi umeshika walkman
Yote Madaladala ya Dodoma ni ushamba mtupu, kwanini kwenye gari ya watu wena haiba mbalimbali mawazo / machungu wewe uweke muziki kwa sauti kubwa? Magari ya Mkuhungu yamezidi kuliko hayo ya mkonze na KikuyuMkuu ingekuwa sawa kama angeiwasha baada ya kuingia kwenye gari ila kuanzia nje ilikua inaimba hadi aningia kwa bus
Nipo kwenye daladala hapa Dodoma. Gari inapiga mziki mzuri ila kuna jamaa yupo smart katika mavazi ila cha kushangaza kafungulia mziki kwenye simu yake kwa sauti kubwa. Nini maana yake hii kitu au ni ushamba?
Yote Madaladala ya Dodoma ni ushamba mtupu, kwanini kwenye gari ya watu wena haiba mbalimbali mawazo / machungu wewe uweke muziki kwa sauti kubwa? Magari ya Mkuhungu yamezidi kuliko hayo ya mkonze na Kikuyu
Huyo jamaa yuko sahihi kabisa .
Mimi ni hayo tu SIPENDI MUZIKI KABISA UWE WA SAUTI YA JUU WENYE KUTUMIA WOOFER AU WA SIMU KWENYE KADAMNASI HASA HOTELINI, BAR AU KTK USAFIRI
- Mwache amwabudu MUNGU wake, na ninyi mwabuduni MUNGU wenu kwa vinubi na vifijo na ana NAULI YAKE mwacheni APANDE TU
- Bora wote wazime daladala na wenye simu Hivi ukifika Dodoma hotel kuna Muziki kweli hata wa sauti ya chini km huko kwenye vilabu au madaladala Mnayashusha hadhi haya magari ya usafiri maana wanapanfa wototo /wanafunzi na walevi.
- Juzi kagongwa mtoto wa UDOM anatembea juu ya reli ya kati na headphone masikioni musiki wa juu utawafikisha wapi?
Mkuu amenikumbusha enzi za suruali ya mchele mchele moka nyeupe na shati la bahama alafu mkononi umeshika walkman