errynest s Lukindo
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 484
- 165
milioni mbili kasoro lakimmhh bora nikanunue samsung s7 au IPhone kwaiyo bei yaani million kasoro laki
Kwa pesa hiyo unapata Samsung S8 mpyaaa na waranty ya miaka miwili
Kwa hyo kuna fekon ya laki na tisini kwanini msisome namba vizuri kuliko kukurupukaHeri nikanunue fekon mpya nikapige bodaboda.
mkuu apo akerekebisha aliandika 1,900,000Kwa hyo kuna fekon ya laki na tisini kwanini msisome namba vizuri kuliko kukurupuka
Ciuz cm used kakaKula 50k mkuu,
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebishaAcheni uboya someni namba vizuri, ndio maaana watanzania hua tunaongoza kwa kufeli mitihani
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebishaKwa hyo kuna fekon ya laki na tisini kwanini msisome namba vizuri kuliko kukurupuka
Mkuu usiwe na haraka tulia type vizuriJaman n maandsh n lak 90
Kwan shida iko wap hapo malekebsho c yashafanyika au?Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha
Mkuu usiwe na haraka tulia type vizuri
Hela ganNapata Kiwanja Kigambon Iyo Hela