Simu mpya za tecno zenye operating system ya android

android ni operating system ya kwenye cmu inayomilikiwa na google
 
sijawahi tumia mchina toka nijue simu!!! i hate simu za kichinaaa!!
 
hiyo simu inapatikana huku chief?

ya tigo yes inapatikana na hio ya jelly bean why ispatikane? Maana china na tz ni kama nchi moja watu kibao wanafungashia china sku hizi na kama una mchongo na mtu anaekwenda huko unaweza toa special order kabisa
 
ya tigo yes inapatikana na hio ya jelly bean why ispatikane? Maana china na tz ni kama nchi moja watu kibao wanafungashia china sku hizi na kama una mchongo na mtu anaekwenda huko unaweza toa special order kabisa

my mistake inarun android 4 ics na sio 4.1 jelly bean
 
Tuache kukariri ati kila chinese ni fake,hapo Kenya kama mjuavyo simu zote fake zilishazimwa kitambo.Lakini uliza matawi makuu ya Tecno mobile hapa Afrika ni nchi zipi?.Jibu ni NIGERIA na KENYA!.Kama mfanyabiashara hakuziagiza toka china basi ni lazima akafungie mzigo Kenya.Mpaka sasa simu kama TECNO T1 na TECNO N3 zinauzika kama karanga nchini Kenya.Tecno wanajiamini na wanachokifanya na ndo maana hata CEO wao alipita kifua mbele katika nchi za NIGERIA,GHANA&KENYA kufanya uzinduzi.
 
Hiyo jelly bean ya 104 usd ni ipi

mkuu my mistake ni ics android 4

simu inaitwa huawei t8830 ram 512mb goriila touchscreen na camera 3.2 mp strange chip ya mediatek nafkiri mpya hii na processor yake ni dual core speed yake sjaipata bado lakini still hata kama ni 1ghz ni fresh tu. Ukubwa wa kioo nchi 4 na una resolution ya 800x480.

 
Simu kama huawei, zte na tecno hawamo katika hili janga ikiwa tcra watafungia hizi simu
 
HATA VODACOM, TIGO, AIRTEL, ZANTEL, SASATEL n.k hawajui natumia simu ya aina gan, sembuse TCRA? km ni imei nshabalisha simu baada ya kusajil line

hiyo imei kwao inasoma automatic usidhani uliyojaza kwenye form ya usajili ndiyo basi na hata tcra wakiamua kublock mitandao ya simu wanatoa maagizo kwa makampuni ya mawasiliano wao wanakuwa wafuatiliaji tu.
 

Mbwembe zote haina 3G
 
Je Blackberry curve 8520 na hizi Huawei tigo wanazoziuza 175000 kwa promosheni ipiina utendaji kazi mzuri zaidikulinganisha na nyingne? naomba ushauri ila sio kejeli tena.
 
Je Blackberry curve 8520 na hizi Huawei tigo wanazoziuza 175000 kwa promosheni ipiina utendaji kazi mzuri zaidikulinganisha na nyingne? naomba ushauri ila sio kejeli tena.

Huawei utapata apps nyingi kuliko bb, hiyo ndo raha ya android, utafaidi pia 3g (bb 8520 haina) na radio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…