bei halisi ya nokia ni 400,000 (250 usd) wakati inatoka mwaka jana ila sasa itakua imeshuka. bei hi ni kabla ya kodi na ruzuku(sijui kama ndio kiswahli fasaha cha subsidy)
kwa mitandao ya simu kikawaida wanatakiwa wapunguze bei sababu wanazilock na wanakuforce kutumia vocha na mitandao yao. ndo maana kama hao vodafone wanauza bei rahisi
case ya amazon nafkiri ndio bei halisi ya lumia 620 kwa sasa. wao amazon hawalipi kodi ya simu bali wewe mtumiaji ndio utakae kuja kulipa tofauti na madukani. japo tz huwez lipa kodi ya simu moja mpaka ziwe za biashara.
kama unataka kununua kwa sasa tz unapata as cheap as 380,000 kuna matangazo yapo jf store kule