D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Nilishareset na bado ipo vile vileMimi nilipata same problem kwa Tecno L8 yangu. Tiba niliyofanya nili reset kwenye factory data reset ikarudi kuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inarudi. Lkn baadae inafanya vile vileUkizima na kuiwasha?
Samsung j2. Halotel, tigo same problemMnatumia simu gani na mtandao upi mnatumia?!
Samsung j2. Halotel, tigo same problem
Basi itakuwa shida ni simu na si mtandao.Pole sana...mm nlikuwa na j7 ilianza tatizo kama hilo nkaamua kuikimbia
Mara naambiwa weka airplane mode zima simu halaf washa network inarudi inakaa kidogo inapotea
Basi itakuwa shida ni simu na si mtandao.
.
.
Btw...i miss u
Nitabadili muda ukiwadia...Mungu akufanyie wepesi upate nyingine haraka...linapokuja suala la kununua simu huwa naumia kichwa ipi ni nzuri
Miss me?!..u wnt me to av wet dreams [emoji6]
Nitabadili muda ukiwadia...
.
.
I dont want u to have wet dreamz..nimekumiss tuuu. Kikawaida!
Haya bana nicheke tuuu.[emoji6][emoji6]
Hehehehehe