Betri nayo inakaa na chaji muda gani??
Ttzo linakuwa ktk betri.
Hata mimi hlo ttzo lilinipata but baada ya kuambiwa ni betri, nikabadilisha. Sasa hivi iko poa
Samsung Galaxy S2Kwahiyo mkuu sasa hivi unatumia simu gani?
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.
Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?
Vodacom!
Unatumia Airtel nin mkuu?
Ulikuwa unamaanisha Itel ?hilo dubwasha balaa,ni kama tanuli.
Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.
Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?