Simu kufuta miziki automatically

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Hi,

Habari zenu ndugu zangu.

Hivi karibuni nimepokea toleo jipya la android (android 11), baada ya kufanya update, nimekumbana na tatizo kwamba simu inafuta miziki yenyewe kila ninapoipakua.

Nahitaji msaada Kwa anaejua jinsi ya kurekebisha tatizo hili.

Natumia Samsung galaxy A 21s.

Asante.
 
Hio unapoclean unnecessary [emoji417] folders and files nafkiri unazifuta na izo nyimbo so chakufanya hamisha izo
 

Au simu ina storage sensor jarbu kuiturn off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…