ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Simu tajwa hapo juu inauzwa,Haina hata wiki toka itoke dukani,sababu ya kuuza nimepata simu nyingine,ni andoid 2.3.5 WhatsApp,Instagram,na mambo mengine mengi yapo poa,unaweza kui-google pia,simu ipo mwanza,unaweza kunicheki whatsApp kwa namba hii 0656513032