ipo nokia n9 inaboot os zaidi ya mbili, lakini hardware zake sasa hivi ni outdated kidogo
hakuna sababu ya maana hizi simu zisiweze kuwa na os zaidi ya moja sababu hardware za ndani ni zile zile ila tu ni mabifu ya kampuni kama microsoft/google/apple etc.
nakumbuka samsung alitengeneza tablet ya ativ yenye uwezo wa kurun windows na android pamoja ila waliipinga wote microsoft na google hivyo haikutoka hio tablet.
sasa hivi ili upate kifaa kinachorun android na wp utakipata kwa wachina wadogo na process zake si official.
pia kuna custom rom ya windows 10 ambayo unaweza kuflash kwenye simu yako ya android, hii ni official toka kwa microsoft wenyewe na sasa inatestiwa kwenye xiaomi mi4