Simu inayotumia firefox kuzinduliwa leo!!

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
shirika la simu la kihispania la telefonica litazindua simu yake aina ya zte open itakayotumia os ya firefox
simu hiyo itagagarimu us dollar 90 around 150.000 tsh,simu hiyo itakuwa na pecs za 3.5-inch 480x320-pixel touchscreen, 3.2MP camera, 256MB RAM, na 512MB naitkuja na micro sd card ya 4gb
upekee wa hii os unakuja katika kutafuta apps,ambazo unatafuta direct katika pages na sio katika store kama ilivyo ios na android,tunaamini kupata wateja kutokana na unafuu wa gharama yake na uwezo mkubwa wa kukaa na charger,kwa mujibu mkurugenzi wa telefonica,pia telefonica watatangaza simu nyingine aina ya alcatel one touch fire itakayotumia os hiyo(firefox),Telenor pia watatangaza simu iinayorun os hiyo baadae mwaka huu ulaya mashariki na kati,pia kampuni ya Deutsche Telekom itatangaza na yenyewwe simu zake poland,kampuni nyingine kubwa zinazotazzamiwa kutoa simu za os hiyo baadae ni sony na lg
firefox iatumia web programing kwa hiyo app developer hawatoazia from the scratch kutengeneza app






naomba kuwasilisha!!!...

reference:http://news.cnet.com/8301-1035_3-57...hone-launches-tuesday-in-spain-at-$3-a-month/
 
Safi zije

Watumiaji ndiyo wataona ipi inawafaa.
 
hizi simu operator wakizichukua kama tigo zitasumbua sana. kuna baadhi ya oem wanatengeneza za dola 50 (kama 80,000) imagine tigo wanai subsidize inakua kama 65,000 then inakuja na bundles za internet, sms na dakika za kuongea.

hizi simu zitapambana sana na nokia 501
 
so far naona nokia atashinda coz ana experience ya kutengeneza middle range phone,alafu pia zte touchscreen siyo soft kabisa(ngumu)
[video]http://reviews.cnet.com/smartphones/zte-open/4505-6452_7-35619081.html[/video]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…