Habari,
Ninauza simu, blackberry bold 9700, nyeusi kwa shilingi za kitanzania laki mbili (200,000). Ninapatikana dar.
Mawasiliano 0786-305664. Karibuni.
mhh we kila kitu unanunua lol120,000 ipo ukiafiki ntafute fasta asubuhi hii hii ukanywe supu ubariki siku yako.
mhh we kila kitu unanunua lol
mhh we kila kitu unanunua lol
Labda ana museum lol.
Labda ana museum lol.
maana yake ana pesa mingi vip unamuonea wivu nini?mhh we kila kitu unanunua lol
maana yake ana pesa mingi vip unamuonea wivu nini?