Simu Inauzwa

Toa hiyo moja tufanye biashara
 
Unataka kuuza bei uliyonunulia na simu ushaitumia miaka 2??

Sio kwa ubaya ila hiyo bei na aina ya simu ni tofauti.

Ingia kwenye groups za "vitu used" facebook, tangaza huko huenda ukapata mteja.

Na ukiendelea kulia kua una shida utaiuza hata 10k.
 
Sawa
 
Wakuu umefika 160000 nauza simu naomba mnununue na shida jamani naombeni πŸ™πŸ˜­
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…