Simu inauzwa

Simu inauzwa

Akili ni nywele kila mtu ana zake
Huyu mleta tangazo ameshindwa kuelewa ni kwa nini watu Wanamwambia mara simu kioo kina ufa, mara simu imechakaa anakurukupuka na kutukana
Hao wanamaanisha Tangazo lako halina picha ya hiyo simu unayouza
Dah kazi ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom