Rudisha ulipoitoa ww huiwez mpaka mwenyeweNimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena yvoda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
Elfu 2020k ndo nini mkuu.?
Hyo simu inabidi ifanyiwe unlocking ndiyo itaweza kusupport line ya mtandao wwte. Na kuhusu hyo slot ya pili inaweza kukaa sawa na kuweka chip nyingine ukatumiaNimepata simu aina ya Alkatell inatumia laini moja tu tena voda na upande mmoja tu. Upande wa pili haisomi lain yoyote hata ukiweka voda inadai password isiyojulikana.
Unaweza ku isaidia
Kuwa makini uki flash inaweza kufa kabisa. Hizo simu zinatolewa na vodacom tu kwa Tanzania haziuzwi wanawapa mawakala kwa ajili ya usajili wa laini.
Ukiweza itumie na laini yake ya voda. Utaipenda inatunza charge mno na camera nzuri.Wewe ndo umesema kweli, niliipata kwa wakala kaniuzia mimi si wakala wala sina mpango wakuwa wakala. Sasa nifanyeje?