Simu inashindwa kusoma Line nifanyaje?

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
351
wadau,

Nimesaidika mengi mno kupitia kwenu na sasa naombeni msaada wenu kuhusu hili.

smartphone yangu aina ya tecno S9 imegoma kabisa kusoma sim card na nimeshindwa kabisa kugundua tatizo na bado ni mpya ya mwezi 1 kasoro tangu niinunue kwa laki 2 na 30.

Msaada wajameni.
 
Ndugu zangu wanamaalifa nilikwa naomba msaada kwa yeyote anejua jonsi yakutatua tatizo la sim yangu aina ya Samsung galaxy not3 imefuta kabisa imei inaandika null samahani nawaombeni msaada wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…