Wewe ni mpenzi wa earphone? yaani kusikiliza radio na mziki kwa earphones? ni hatari sana hii kitu maana nyingi (sio zote) hazina ubora kabisa.
Pili ili kusaidia hilo tatizo lako kwasaa jitahidi au jifunze kutumia Loudspeaker, au ikishindikana hio hakikiksha simu yako unapunguza sauti. Yaani unapoongea na mtu uwe unasmikia at least kwa mbali kidogo sio sauti kuuuubwa hadi majirani wanasikia kila kinachozungumzwa na upande wa pili huku simu umegandamizia sikioni.
MUNGU akuponye
Tumia external loudspeaker yaani kama upo ndani ya chumba basi ukipigiwa inasikika chumba kizima na ukipokea hutakiwi kushika simu wewe unaongea tu na yeye anakujibu, hii ipo pia kwenye magari. Sijuwi bei za hivyo vifaa ila ukiwa interested niambie naweza kukupekulia sehemu
pole sana na ni vema wakati unasaka hospitali ya kwenda ni bora ukachukua taadhari ya kupunguza ama kuacha kutumia simu pia inapolazimu kutumia simu tumia kusikiliza kwa sikio la kushoto kwa wanavyoshauri wataalamu
Mkuu unapaswa kuchunguza simu yako,simu zngne zina kiwango kikubwa cha radiation hivyo huathiri mfumo wa sikio,bonyeza*#06*IMEI number ya katikati ndo kiwango cha ukubwa wa mionz,inatakiwa iwe 0 mpaka 3,zaid ya hapo majanga jaribu kubadilisha simu tumia Nokia za kawaida zenye tochi hizo shida utasahau!Asante mkuu, tatizo Sijajua hata hosipitali ya kwenda.
Mkuu unapaswa kuchunguza simu yako,simu zngne zina kiwango kikubwa cha radiation hivyo huathiri mfumo wa sikio,bonyeza*#06*IMEI number ya katikati ndo kiwango cha ukubwa wa mionz,inatakiwa iwe 0 mpaka 3,zaid ya hapo majanga jaribu kubadilisha simu tumia Nokia za kawaida zenye tochi hizo shida utasahau!
mimi sio mpenzi wa earphon japo huwa nazitumia mara chache. Nashukuru kwa kunizindua mkuu, nlikuwa nafikiria kuzinunua ili niwe natumia kama mbadala wa tatizo langu.
Vipi kuhusu Bluetooth devices za kuvaa sikioni, zina madhara au zinaweza kunisaidia?
nashukuru kwa ushauri mkuu.
Nilikiwa sijui tunapaswa kutumia sikio la kushoto japo kwangu hata Nitumie sikio la kushoto bado naumia.