Simu inaishia kwenye WI-FI

Simu inaishia kwenye WI-FI

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
623
Msaada namna ya kutoa simu inayoishia kwenye WI-Fi settings.....
Baada ya simu yangu kuwa slow nkaamua niifanyie hard reset. Sasa kila kinjaribu kuanza upya inaishia kwenye Wi-fi setting aiendlei nifanyeje wdau
 
connect wi-fi next kuna semu add account yako ya gmail na password.ikishindikana tafuta mataalamu alie karibu yako
 
Back
Top Bottom