IMEI imecorrupt hiyo, piga *#06# uone kama inafanana na IMEI halisi nyuma ya simu baada ya kutoa betri.
Samsung huwa inakubwa saana na hili janga la IMEI kucheza, hapo ni kujiandaa kununua certficate nyingine ya IMEI.
Kuna mtu humu anaitwa Halfan anafanya kwa bei poa sana, namba yake hapa sina labda baada naweza nikakupa ila Kkoo, Posta watakupiga pesa nyingi, pesa nyingi namaanisha kuanzia 70,000 na kuendelea.