hiyo siemenes c35 ndo ilikua simu ya mwalimu mmoja hivi kule kijijini kwetu, so kila anaetaka kupiga kwa mtu wake huko town unaenda na vocha kipindi hicho vocha za voda zilikua zinaprintiwa kwenye vikaratas kama vile unavyotoa hela ATM, du nimekumbuka 2003 kijijiniiii
Twangapepeta ninavyoipenda ntakunywa sumu juu yako x2
mikono juu mikono juu!
ilikuwa jamaa akksema mikono juu zinaonekana hizo SIEMENS C 25, ndo ilikuwa muda wa kuonesha kama na wewe una simu!