ni sawa sawa. Air time inahesabika kwa kiasi ulichonunua. kama unaweka vocha ya Tsh.1000 kuna sekunde na dakika unazotakiwa kuwa hewani kwa kupiga na kuongea tu lakini kupokea bureeeeee
ni sawa sawa. Air time inahesabika kwa kiasi ulichonunua. Kama unaweka vocha ya tsh.1000 kuna sekunde na dakika unazotakiwa kuwa hewani kwa kupiga na kuongea tu lakini kupokea bureeeeee
Kuna lugha ya kisemantiki na lugha ya mawasiliano. kusema kuwa simu haina hela ni lugha ya mawasiliano ambayo inaeleweka na watumiaji wa lugha husika ingawa kwa lugha ya kisemantiki ni vema kusema simu haina muda wa hewani.