Simu haikamati mtandao wa Halotel

Simu haikamati mtandao wa Halotel

Joined
May 16, 2023
Posts
30
Reaction score
32
Habari wadau,

Nina simu ni almost mpya lakini ina tatizo haikamati network laini yoyote ya Halotel msaada tafadhali.

Aina ya simu ni Infinix Smart 6.
 
Habari wadau nina simu ni almost mpya lakini ina tatizo haikamati network laini yoyote ya Halotel msaada tafadhali. Aina ya simu ni Infinix Smart 6.
 
Habari wadau,

Nina simu ni almost mpya lakini ina tatizo haikamati network laini yoyote ya Halotel msaada tafadhali.

Aina ya simu ni Infinix Smart 6.
Weka laini afu nenda kwenye Mobile Networks afu kwenye profile ya laini ya Halotel angalia network mode ikoje? 2G Only, 3G Only au 4G/LTE Only? Change weka Auto uone matokeo kama itakua bado tatizo angalia IMEI numbers kama ziko clean na genuine hajizafanyiwa UBATIZO na wahuni.., Au kama uliwahi kuiflash basi huenda NVRAM ime corrupt hii huwa ni partition ndogo sana kwenye ROM ya simu na ndo huwa imebeba configurations za network na IMEI kwenye ROM ikizingua tu basi tatzo simu inakua inashika network mjini tu..
 
nenda kwenye mobile network type hakikisha umeweka 2G na sio 3G au 4G
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom