Msaada tafadhali simu haingizi chaji.nikichomeka chaja kwenye socket simu inaandika.moisture has been detected..unplug your charger and wait untill both usb and phone are dry.nifanyeje wadau..kuikausha.?NI samsung galaxy alpha10.@ChiefMkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka kwa fundiMsaada tafadhali simu haingizi chaji.
Nikichomeka chaja kwenye socket simu inaandika.moisture has been detected..unplug your charger and wait untill both usb and phone are dry.nifanyeje wadau..kuikausha.?NI samsung galaxy alpha10. @ChiefMkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifanyaje?Mm nahis tatizo huwenda ikawa ni ni kwenye betri, betri yake si ya ndan kwa ndan!?
Tatizo hilo huwenda linafanana na lile la temperature[emoji3166]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio poa...Imwagie glass nne za maji ya moto ikae dk 15 alafu iweke tena charge rudi utoe ushuhuda
Nimegoogle nikapata video you tube..ngoja nijaribuImwagie glass nne za maji ya moto ikae dk 15 alafu iweke tena charge rudi utoe ushuhuda
Shukranimkuu chukua mchele mkavu weka kwenye bakuri au kikombe halafu izamishe simu upande wa chini kwenye chaji na usb yako upanda wa kuingiza kwenye simu zamisha kwenue mchele viwache kwa dkk 15 mpk 30 kisha toa tatizo litakwisha
au zima ikaribishie karibu na moto wa mkaa upande wa port ya usb ishikilie ipate mvuke wa moto mpk ukiona mkono unapata joto kali toa fanya tena hvyohvyo km mara 5 na usb cable pia *¥note usiache simu pk yke ishikilie na mkono wako*¥
kilichopo hapo port ya usb au usb cable yako imepats majimaji au unyevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you[emoji120]mkuu chukua mchele mkavu weka kwenye bakuri au kikombe halafu izamishe simu upande wa chini kwenye chaji na usb yako upanda wa kuingiza kwenye simu zamisha kwenue mchele viwache kwa dkk 15 mpk 30 kisha toa tatizo litakwisha
au zima ikaribishie karibu na moto wa mkaa upande wa port ya usb ishikilie ipate mvuke wa moto mpk ukiona mkono unapata joto kali toa fanya tena hvyohvyo km mara 5 na usb cable pia *¥note usiache simu pk yke ishikilie na mkono wako*¥
kilichopo hapo port ya usb au usb cable yako imepats majimaji au unyevu
Sent using Jamii Forums mobile app