Phone4Sale Simu aina ya Samsung S8 inauzwa

kipapi

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
1,056
1,374
.
 
Attachments

  • images.jpeg-17.jpg
    images.jpeg-17.jpg
    20.1 KB · Views: 94
Habari wapendwa,

Nauza simu yangu aina ya Samsung Galaxy-S8

Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 3,000 MAh.

Bado mpya kabisa ina wiki mbili tu tangu inunuliwe dukani.

Bei yake ni 250k (laki 2 na 50)

Kama unahitaji piga simu namba 0627 005301

Kama bado mpya,mtu akijichanga vizuri anapata kitu kinyemi kabisa.

Unaturingishia kuwa una simu Samsung siyo?

Hongera lakini.

Au yule Eliza wa Buza anataka umlipe?

Acha kudonyoa vya watu kwa mikopo.

Habari wapendwa,

Nauza simu yangu aina ya Samsung Galaxy-S8

Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 3,000 MAh.

Bado mpya kabisa ina wiki mbili tu tangu inunuliwe dukani.

Bei yake ni 250k (laki 2 na 50)

Kama unahitaji piga simu namba 0627 005301

Sio simu ya mchongo kweli hiyo? Mbona hiyo bei haiendani na ukweli
 
Habari wapendwa,

Nauza simu yangu aina ya Samsung Galaxy-S8

Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 3,000 MAh.

Bado mpya kabisa ina wiki mbili tu tangu inunuliwe dukani.

Bei yake ni 250k (laki 2 na 50)

Kama unahitaji piga simu namba 0627 005301

Bei rahisi mpaka nahisi hii simu sio salama

Hakikisha unatoa na risiti yake kabisa ...

Vinginevyo hio Bei inaogopeshaaa
 
Jiandaeni kwenda kulipa million na zaidi oysterbay pale😂 kwa yeyote ambaye anaona ni rahisi kuuziwa simu ya laki 4.5 kwa 250k na ainunue atakuja kushuhudia hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom