Simu aina ya iPhone inahitajika

Simu aina ya iPhone inahitajika

me1

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
367
Reaction score
422
Habari wakuu,

Inatafutwa iphone mpya au used yenye condition nzuri.

Iwe kuanzia iphone six na kuendelea, storage size yoyote na muuzaji awe ndo mmiliki halisi wa hiyo simu (kwa uthibitisho)

Kama kuna anae-meet hayo matakwa karibu tufanye biashara.
 
Kuna Iphone 5S in good condition, japo ni nje ya simu uliyohitaji lakini sorry yaweza kuwa alternative
 
Niko Dar, offer itategemea hali ya simu, storage na aina (6,6+,6s, 7 etc)

Si-entertain madalali kabisa mkuu.
Madalali unajua maana yake??? Ukiskia neno OFFER bas unajua kuna dalali kaingia hapo kati....wabongo bwn
 
Kua makini zaid ya unavyofikiria, Ukicheza kidg tuu sero inakuhusu, mm n mhanga wa hilo in the same way.
 
Nina IPhone 6s Plus . Ni yangu mwenyewe, haina shida, haina hata scratch. 64GB, 4HD screen protector . Nipe 1.5M
 
nna iphone nimeitumia mwez mmoja mpya inakilakitu chake ni 6s ukinipa 9laki nakupa na nakupeleka mpaka dukani niliponunulia.
 
Mkuu unabahati mbaya juzi tu nimeiuza iphone 6s yangu kwa laki 6 tu..na nilinunua mwezi wa pili kwa wakala wenyewe wa iphone nimempa jamaa na box yake na earphone zake..nikaongezea hela kiasi ndio nimeagiza Iphone X
 
Nakushauri ukitaka simu used ingia App ya kupatana hapo dar utazikimbia hizo na bei ta kutupa na sio za wizi
 
Back
Top Bottom