Mambo yamebadilika, even asilimia chache ya raia wa ulimwengu wa tatu wana afford kuagiza simu kutokam marekani.
Hizi brand zinazotoka US huwa zinakataa copyright kisheria. Is why hakuna simu nyingine inatumia mfumo wa ios dunian zaid ya iphone, is why google pixel wana custom hardware especially chip ambayo hakuna simu nyingine inatumia zaid yao. Hizi brand zinalindwa hakuna dilution