Simu aina ya bird e700 ni nzuri kwa matumizi ?

Simu aina ya bird e700 ni nzuri kwa matumizi ?

br jf

Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Natafuta simu aina ya bird E700 ,naomba ushauri kama ni nzuri kwa anayefahamu.
 
Natafuta simu aina ya bird E700 ,naomba ushauri kama ni nzuri kwa anayefahamu.
ingia gsm arena uitafute utaona ubora wake kama haipo fahamu kuwa ni kimeo sawa na tecno maana haipo gsm arena
 
Hiyo nzuri.Kuna jamaa anayo.Internal memory ni 4Gb.Betri inakaa mda mrefu na chaji.Pia inapnesha video nzuri na nizaidi ya Tecno kwa muono wangu.
 
Sio mbaya mkuu. Ni nzuri, na bei yake ni affordable, sijui unanunia second hand au brand new? Kama kwa mtu isizidi 180,000Tsh.

Imezinduliwa mwezi March mwaka huu, 2014, hapa no specifications, wengine mtasaidia kushauri:

-Ima double line.
-Kioo 4.5" LCD
-Processor ya 4 cores, 1.2Ghz
-Memory internal ni 4GB, unaweza weka Memory Card na ina RAM ya 512MB
-Camera moja ya nyuma tu yenye 3MP resolution.
-Connection za muhimu kama 3G, WiFi, Bluetooth uhakika.
-Ina removable battery ya 1500mAh.

Specifications zaidi hapa: Gonga Hapa
 
Sema wameiua kwa camera ya 3mp, ram 512 na bettry 1500 mAh, lakin kama huna matumizi makubwa ya simu, ni nzuri,
 
Back
Top Bottom