Simu 15 ndani ya dakika 10 zilinivunja moyo

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,668
34,367
Baada ya kumfukuzia demu flani kwa muda mref hatimae nilipata namba yake na nikaomuomba tukutane sehem flan kwaajili ya kumwambia kile kilicho nifanya nitafute namba yake

Siku ilifika tukakutana lakin ndani ya zile dakika 10 za maongezi yetu alipokea simu Kama 7 yan ikawa kabla sijamaliza neno anapokea simu, kabla sijamaliza neno anapokea nyingine, kilicho nikatisha tamaa kila simu akipokea anajibebisha ile ya kimapenzi huku akishinikiza atimiziwe ahad flan flan zilizokua za gharama sana alaf ni kwa watu tofaut tofaut.

ilinibid nibadilishe mada kutoka kumtongoza hadi kujidai nimemfananisha na dada flan niliepotezana nae muda mrefu
Nimecheza kamari nyingi ila siku ile nakiri nilisukuma kete mbovu

Sent using GunTrigger
 
Last edited:

hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa kuwa dakika zimebaki vile vile wakati no ya simu imechange basi tatizo sio simu tena ni muda.
Huyo demu hana ila wew ndo ujifunze kujali muda wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ziliingia 15 zilizopokelewa ni Kama 7 hizo zngne hazikupokelewa ile dizain et ndo ananipa heshima ya kuniskiliza

Sent using GunTrigger
 
umezingua mkuu, ulitakia uchovye asali kwenye buyu lake ndo ulitupe!.

in short ulitakiwa ufanye juu chini hazi umzibue papuchi ili akili ikae sawa!

tunakuja kukunyang'anya kadi ya ubaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umezingua mkuu, ulitakia uchovye asali kwenye buyu lake ndo ulitupe!.

in short ulitakiwa ufanye juu chini hazi umzibue papuchi ili akili ikae sawa!

tunakuja kukunyang'anya kadi ya ubaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dem mwenyewe baharia wa kike Sasa tukakutana mabaharia kazini ikabidi tugonge cheers tu na kila mmoja aendelee na safari yake

Sent using GunTrigger
 
Yaan kama unaweza Fanya kumpakua mayonaizi halafu usiingie kwa anga zake mwanangu...usiwe kama mjinga bhna
 
Baada ya kumfukuzia demu flani kwa muda mref hatimae nilipata namba yake na nikaomuomba tukutane sehem flan kwaajili ya kumwambia kile kilicho nifanya nitafute namba yake

Siku ilifika tukakutana lakin ndani ya zile dakika 10 za maongezi yetu alipokea simu Kama 7 yan ikawa kabla sijamaliza neno anapokea simu, kabla sijamaliza neno anapokea nyingine, kilicho nikatisha tamaa kila simu akipokea anajibebisha ile ya kimapenzi huku akishinikiza atimiziwe ahad flan flan zilizokua za gharama sana alaf ni kwa watu tofaut tofaut.

ilinibid nibadilishe mada kutoka kumtongoza hadi kujidai nimemfananisha na dada flan niliepotezana nae muda mrefu
Nimecheza kamari nyingi ila siku ile nakiri nilisukuma kete mbovu

Sent using GunTrigger
Ulitakiwa umpigie simu ukiwa naye ili umueleze ulichokusudia.

Ndo ukome kufuata mademu wa watu.
 
😂😂😂yani bora hata hukumwambia, kwasababu alikuonyesha wazi hana mpango na wewe na ndio maana alikuwa anaendelea na harakati zake mbele yake.
😂😂😂tafuta pesa mkuu, usipokuwa na pesa wanawake wanadharau sana.
 
Back
Top Bottom