Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Kusema kweli watu hawa sikuhizi wamekuwa kimya sana ukilinganisha na Maalim Seif ambae amekuwa mstari wa mbele katika kuisakama Serikali ya Zanzibar kiasi ya wengi wa CCM magogo wa pale Unguja ni wagonjwa wengine wamepelelwa Cuba kutibiwa kansa ya ngozi.
Mko wapi wakuu mbona kimya kimekuwa kirefu au ndio mshazibwa midomo kwa kuingizwa milango ya mahakama na kutiwa mikiki na piliccm ? Ondoeni uvivu kama kufungwa hata Mandela alifungwa na ndio siasa za kwetu Afrika lazima kufungana ,mnapokaa kimya ndipo adui CCM anapozidi kujitandaza na sera za udanganyifu.
Hakikisheni mwezi haumalizi(Kila mwezi) mnaikurupusha CCM hawa bila ya kuwakurupusha watazidi kuzuga watu.