Simsikii tena Lisu, Alkael na hata Kabwe Kunani ?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kusema kweli watu hawa sikuhizi wamekuwa kimya sana ukilinganisha na Maalim Seif ambae amekuwa mstari wa mbele katika kuisakama Serikali ya Zanzibar kiasi ya wengi wa CCM magogo wa pale Unguja ni wagonjwa wengine wamepelelwa Cuba kutibiwa kansa ya ngozi.

Mko wapi wakuu mbona kimya kimekuwa kirefu au ndio mshazibwa midomo kwa kuingizwa milango ya mahakama na kutiwa mikiki na piliccm ? Ondoeni uvivu kama kufungwa hata Mandela alifungwa na ndio siasa za kwetu Afrika lazima kufungana ,mnapokaa kimya ndipo adui CCM anapozidi kujitandaza na sera za udanganyifu.

Hakikisheni mwezi haumalizi(Kila mwezi) mnaikurupusha CCM hawa bila ya kuwakurupusha watazidi kuzuga watu.
 
Wao washamaliza wanawachora tu tz inakimbilia shimon kwa kas ya ajabu kama nchi haiwez hata kuajiri watumish wake ktk taasis zake kuna nchi hapo.
 
Wanatafuta neno jipya la mwezi july, april ilikuwa demokrasia, may ikawa Dr. Tulia na Rais dikteta, june ikawa bajeti na muondelezo wa demokrasia, rais dikteta na maazimio ya kuzunguka nchi nzima kushtaki kwa wananchi+Dr. Tulia, June ilikuwa kuziba midomo, kuvaa nguo za misiba na kuongeza neno Uchwara pale kwenye Dikteta.
Stay tuned utapata singo mpya
 
Kusema kweli watu hawa sikuhizi wamekuwa kimya sana ukilinganisha na Maalim Seif ambae amekuwa mstari wa mbele katika kuisakama Serikali ya Zanzibar kiasi ya wengi wa CCM magogo wa pale Unguja ni wagonjwa wengine wamepelelwa Cuba kutibiwa kansa ya ngozi.

Mko wapi wakuu mbona kimya kimekuwa kirefu au ndio mshazibwa midomo kwa kuingizwa milango ya mahakama na kutiwa mikiki na piliccm ? Ondoeni uvivu kama kufungwa hata Mandela alifungwa na ndio siasa za kwetu Afrika lazima kufungana ,mnapokaa kimya ndipo adui CCM anapozidi kujitandaza na sera za udanganyifu.

Hakikisheni mwezi haumalizi(Kila mwezi) mnaikurupusha CCM hawa bila ya kuwakurupusha watazidi kuzuga watu.

Hahaha eti ka kufungwa hata Mandela alifungwa ni rahisi kutaka wengine wafungwe kwa nini usilianzishe wewe ili ufungwe kama Mandela halafu Dunia ije ikutoe?
 
Wanatunga sheria na kuandaa mashitaka ya kupeleka mahakamani ili wakikataliwa hapa ni mbele kwa mbele ICC
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom