Kama wadau wa teknolojia, si vibaya kutupia jicho katika hivi vitu long term evolution(LTE) na Quality of Service(QoS). maana ndipo tunakoelekea hii ni as per Nokiasiemensnetwork(NSN) [manufacturer mkubwa wa telecom equipments] ambapo wamejitahidi kuelezea vinamaanisha nini katika layman language.
jamaa(NSN) teknolojia yao inatisha.
cc: chiefmkwawa