Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
Ntaingia kwenye matatizo tena.....ila huyo jamaa hajui THAMANI yake kama angekuwa anjua....asingehangaika na mtu kama wewe....mtu makini akikusoma between lines(akisoma post zako) anaona una kitu cha ndani kinakusumbua......lakin ipia ni type ya wasichana ambao huona raha kuangaisha wanaume....na kuhama from one man to another(pole) ...na hamjui mtakacho....unfortunately hupata washiakji wanaowasikiliza.......nngepata chance ya kumshauri jama......nngemwambia akuache on spot....
Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
....Ni pm nimtafute...niongee nae asije akawa anpoteza muda wa kufanya mambo ya maana kwenye maisha.....Nakupm # yake mara dat dat,, umpe huo ushauri
Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
Ni kweli ni ngumu kubadilisha nyeusi kuwa nyekundu,kama huna hisia nae achana naye ila usijiweke kwa sababu ya masilahi
.
I used to bt nt anymo, labda viber tu
Kama ulijua vile anajua kuhonga tu kubembeleza zero