Yote kwa yote dhumuni ni utani tu, hata Ally Kamwe mwenyewe sio kwamba ni kweli alikua anaenda kumchukua mke wa Mwijaku ni tukio lilipangwa kuanza na kuisha kama ilivyotokea. Lengo ni utani sio kutoa darasa la lugha, kwaiyo kama imeeleweka sio mbaya

Usipaniki mzee baba ni utani wa jadi tu, hao wazungu wenyewe wanaokuita nyani wana wendawazimu wao. Huyu ni shabiki wa Argentina akishangilia matiti wazi baada ya Argentina kuchukua world cup View attachment 3065995