VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Umekosea mkuu tumeshafikia zama Za jembe mkulu.. So wakifanya oganaizesheni Za majembe, wakaichimba hii kitu halafue wakaiunguza fasta elekitirisit itapatikana..chezea nshale wewe..!!Wanatakiwa waichimbe kwa mikono hii gesi hawa wamakonde.
Wanatakiwa waichimbe kwa mikono hii gesi hawa wamakonde.
Wao wamakonde hawana tatizo, wanamchakato wa kuanzisha nchi yao ambayo itahusisha Mikoa ya Lindi, Mtwara na wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma na wana Mpango wa kuiita nchi hiyo tarajiwa REPUBLICA DE MAKONDE LAND! wanaandaa proposal ya kuipeleka AU na UN kama ilivyokuwa Sudan Kusini
Simbachawene ang'oe tu hiyo mitambo, wamakonde hawajali! Alikwenda hawa ghasia akagawa bahasha kwa wazee wakala but msimamo pale pale, wanamsubiri Vasco da gama wakale zake!!
Wao wamakonde hawana
tatizo, wanamchakato wa kuanzisha nchi yao ambayo itahusisha Mikoa ya
Lindi, Mtwara na wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma na wana Mpango wa
kuiita nchi hiyo tarajiwa REPUBLICA DE MAKONDE LAND! wanaandaa proposal
ya kuipeleka AU na UN kama ilivyokuwa Sudan Kusini
Simbachawene ang'oe tu hiyo mitambo, wamakonde hawajali! Alikwenda hawa
ghasia akagawa bahasha kwa wazee wakala but msimamo pale pale,
wanamsubiri Vasco da gama wakale zake!!