Kama sasa hivi serikali au watu wa DSM wanapata hasara ya mabilioni ya fedha kwa sababu ya foleni. Kwa nini hiyo gesi wanalazimisha ije Dar hasara si itaongezeka zaidi coz msongamano utazidi kuwa kero na hasara kwa taifa
Halafu huko Mtwara si kuna FM radio huko, inaitwa Pride, sasa kwa nini chawene hakwenda hapo Pride akayaseme hayo ili wana 'Ntwara' wamjibu faster, si alikuwa huko.
......................................... Historia haiishiwi wino.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.