Simba

Elle Kisinga

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
64
Reaction score
6
Hayawi hayawi sasa yamekuwa...
Binafsi nimefurahi sana Mohamed Dweji (MO) kukabidhiwa klabu ya Simba. Hakika hii ni habari njema kwa wana Msimbazi.
Natumaini umoja na mshikamano wa viongozi wa Simba pamoja na wadau mbalimbali utaleta maendeleo ndani timu ikiwa ni pamoja na kubeba ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Hongera sana viongozi wa Simba kwa kujadili na kufikia muafaka wa pamoja kwa kumkabidhi timu MO Dweji!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…