siyo rahisi....Kisiga bange ameacha,
Itasaidia?? Mtibwa wanatusubiri.....!!
Ha ha ha ha ha ha!!! waandishi wa bongo bwana!!! yaani kwizera awe kiungo bora kwenye ligi ya ivory coast ndo arudi tena bongo kukamua ndondo badala ya kwenda mbele kutafuta maisha??Itasaidia, si yupo kwizera?!....kiungo bora wa ligi ya Ivory coast(kwa mujibu wa waandishi wetu makanjanja)
Nilitegemea kuona jina la RAMADHANI SINGANO MESSI kwenye hiyo orodha ya wachezaji waliofungiwa ili kupisha uchunguzi kwa kucheza chini ya kiwango, Kumbe!!!!!! soka la bongo kwel magumashi.Hii tunaita funika kombe mwanaharamu apite
Naona kandambili mmejazana huku