Magalasa hayoooooooooooo
ya kale dhahabu, unakumbuka magalasa mangapi tuliacha ukabeba, tangu akina Nurdin Bakar, Juma Kaseja, Chuji na wengineo, hiyo ni sawa na ganda la mua la jana utaliona kivuno tu
Hivi Nurdin na Chuji walioachwa Simba ndio wakachukuliwa na Yanga?
Kocha ndiye aliyependekeza waachwe?,au friends of majungu?..
Hao mi naona nisawa tu hawana jipya.
inabidi uzame ili uwe MKALIBONGO
Simba SC imetangaza kuachana na nyota wake Haruna Shamte, Henry Joseph, Ramadhan Chombo na Uhuru Seleman waliomaliza mikataba yao!
===
Tetesi;
... YANGA KUMFILISI OKWI: Mbali na taarifa kuwa Yanga imemalizana na Emmanuel Okwi, habari za uhakika ni kwamba muafaka haujafikiwa na huenda akafilisiwa!
" MAXIMO AMPIGA BAO PLUIJM YANGA: Ni baada ya uongozi wa Yanga kusema kuwa hauwezi kufanya usajili bila ruhusa ya Maximo mbali na Pluijm kuacha ripoti ya usajili! "
Uhuru Sellemani hapana, bado ni lulu Simba, hizi habari si za kweli Mwenyekiti ameshasema kwamba usajili umesimama kwa sasa
Uhuru Sellemani hapana, bado ni lulu Simba, hizi habari si za kweli Mwenyekiti ameshasema kwamba usajili umesimama kwa sasa