Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,856
- 32,659
Salaam Wana jf
Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo

hiki ni kichekesho Kwa makolo
Kumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions
Hizi ni probability za timu kubeba super league cup
Mamelods,............23%
Al ahly .............. 21%
Wydad Casablanca...18%
Esperance de Tunis ....14%
Petro de Luanda .....12%
Tp mazembe. .......5%
Simba ( Ayubu) .........5%
Enymba 2%
NB: Je sisimizi (Simba) anaweza kumuua tembo ( Al ahly)

Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo

hiki ni kichekesho Kwa makoloKumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions