Shida Siyo mashabiki, imagine kila watanzania 9 kati ya 10 ni mashabiki wa Simba au Yanga. Hawa ni kuanzia vibosile, matajiri,walalahoi,mawaziri,wanasiasa,viongozi wa dini n.k kwahiyo unapochukua kundi moja liwakilishe makundi yote ya mashabiki nitakukutalia.
Kabla hujasema shida ni mashabiki angalia kwanza uelewa wako na jinsi ipi ya kuwatofautisha.