K kikizo20 Member Joined Jun 9, 2017 Posts 83 Reaction score 50 Jun 23, 2017 #2 Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,015 Reaction score 46,775 Jun 23, 2017 #3 kikizo20 said: Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa Click to expand... word! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndani
kikizo20 said: Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa Click to expand... word! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndani
leah2 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 584 Reaction score 1,441 Jun 23, 2017 #4 Mr Q said: word! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndani Click to expand... Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Mr Q said: word! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndani Click to expand... Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
MotoYaMbongo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,146 Reaction score 887 Jun 23, 2017 #5 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Leo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata?
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Leo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata?
Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 404 Jun 23, 2017 #6 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Lea mambo?
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Lea mambo?
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,358 Reaction score 5,843 Jun 23, 2017 #7 MotoYaMbongo said: Leo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata? Click to expand... Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya dunia
MotoYaMbongo said: Leo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata? Click to expand... Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya dunia
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Jun 23, 2017 #8 kikizo20 said: Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa Click to expand... Pila ni nini Mkuu? Umekwamwa na mwiba wa samaki?
kikizo20 said: Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa Click to expand... Pila ni nini Mkuu? Umekwamwa na mwiba wa samaki?
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Jun 23, 2017 #9 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Hakuna mahali Yanga imetajwa acha kuweweseka
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Hakuna mahali Yanga imetajwa acha kuweweseka
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,917 Jun 23, 2017 #10 Roho ya jirani mkononi
D Dngobola New Member Joined Jun 16, 2017 Posts 3 Reaction score 1 Jun 23, 2017 #11 Timu inaposhiriki michuano ya kimataifa au ligi kuu lazima iwe na wachezaji wengi na wenye uwezo mkubwa
Timu inaposhiriki michuano ya kimataifa au ligi kuu lazima iwe na wachezaji wengi na wenye uwezo mkubwa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Jun 23, 2017 #12 Mnyama kwenye ubora wake
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,030 Jun 23, 2017 #13 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Yanga kuna asali gani kwa walimbwende wajameni?? maana naona wadada wengi ambao naona wanajitokeza kushabikia soka humu JF ni wanazi wa Yanga!
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Yanga kuna asali gani kwa walimbwende wajameni?? maana naona wadada wengi ambao naona wanajitokeza kushabikia soka humu JF ni wanazi wa Yanga!
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,611 Jun 23, 2017 #14 Shunie said: Mnyama kwenye ubora wake Click to expand... Viva Simbaaa
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,673 Jun 23, 2017 #15 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Sawa yanga itabaki kuwa Yanga lakini huwezi kuwa na timu bora kama unaruhusu wachezaji wako bora waondoke
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... Sawa yanga itabaki kuwa Yanga lakini huwezi kuwa na timu bora kama unaruhusu wachezaji wako bora waondoke
MotoYaMbongo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,146 Reaction score 887 Jun 23, 2017 #16 Turnkey said: Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya dunia Click to expand... Wa kupewa na Malinzi.
Turnkey said: Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya dunia Click to expand... Wa kupewa na Malinzi.
kenshi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,973 Jun 23, 2017 #17 Hilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa
Hilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 Jun 23, 2017 #18 Mwaka huu yanga inabomoka kama house of cards!
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Jun 23, 2017 #19 leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... sasa mbona mmechoma jezi ya niyonzima??
leah2 said: Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa Click to expand... sasa mbona mmechoma jezi ya niyonzima??
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,205 Jun 23, 2017 Thread starter #20 kenshi said: Hilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa Click to expand... Povu
kenshi said: Hilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa Click to expand... Povu