Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,638
- 4,183
hongereni!
Umelalia njiti au lile gamba la juuSimba akshinda Leo nalala juu ya kiberiti!
Kabila la mtu linakuhusu nini wewe!!!Naomba kuuliza wanandugu, hiv J. Boko ni kabila gan?
Kumbe na wewe ni kama mimi wote hatujui, hahahaaaa, siwezi kushiba nikjua kabila lake zaid nashiba akifunga magoliKabila la mtu linakuhusu nini wewe!!!
Ukishalijua utashiba!!!!