Simba wawaaa Dar mpaka Harare

Lukwangule

Senior Member
May 25, 2009
157
2
SIMBA ya Dar es Salaam inayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho, leo imeifunga Lengthens ya Zimbabwe bao 3-0 katika mchezo mkali na wa kusisimua ulifanyika mjini Harare,Zimbabwe.
Hadi mapumziko Simba ilikuwa mbele kwa mabao 2-0.
Timu hiyo ambayo Jumapili ilitwaa ubingwa wa Tanzania Bara ilionekana kupania mchezo huo kwa kucheza kwa nguvu zaidi kiasi cha kuwapa wakati mgumu wenyeji.
Wafungaji ni:
Dk ya 32 mfungaji akiwa Mohammed Banka, kisha dakika 36 Mussa Hassan 'Mgosi'.Mohammed Kijuso alimalizia karamu ya magoli
 
Mkuu tunashukuru sana kwa taarifa hizi tamu. Lakini nafikiri kuna thread ya Simba ambayo inaendelea huko. So tunaomba moderators muunganishe hizi.
 
Waje na hapa tuwapige mengine ya kutosha tusonge mbele. Mnyama anatisha bana wacha kabisaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom